Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mahakama kutoa uamuzi wa Kesi ya Sabaya leo, hakimu atupa pingamizi (Video+)

Video Archive
Thu, 12 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Mahakama ya hakimu mkazi Arusha leo August 12 2021 inatarajia kutoa uamuzi wa kesi ya Unyang’anyi wakutumia silaha inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai ole sabaya,Silvester Nyegu pamoja na Daniel Mbura.

Mahakama ya hakimu mkazi Arusha leo August 12 2021 inatarajia kutoa uamuzi wa kesi ya Unyang’anyi wakutumia silaha inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai ole sabaya,Silvester Nyegu pamoja na Daniel Mbura. Hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo Odira Amworo am kesi hiyo ameahirisha hadi August 12 ambapo atatoa maamuzi kama washtakiwa wana kesi ya kujibu au hawana

Chanzo: millardayo.com