Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maafisa JKU kikaangoni

Capture 602?fit=781%2C577 Maafisa JKU kikaangoni

Tue, 22 Dec 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Waziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Masoud Mohammed amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kuivunja Bodi ya Zabuni ya jeshi hilo ili kupisha uchunguzi zaidi na hatua za kisheria kuchukuliwa.

Waziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Masoud Mohammed amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kuivunja Bodi ya Zabuni ya jeshi hilo ili kupisha uchunguzi zaidi na hatua za kisheria kuchukuliwa. Aidha Mhe. Mohammed amemuagiza Mkuu wa jeshi hilo kuwaweka pembeni na kupisha uchunguzi zaidi watendaji wa kitengo cha hesabu, kitengo cha manunuzi, kitengo cha mipango na kitengo cha usimamizi wa miradi.

Chanzo: zanzibar24.co.tz