Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MR KUKU ALIPA FAINI, ACHIWA HURU

3e6abff128027ba97a0bc31e8224d844.jpeg MR KUKU ALIPA FAINI, ACHIWA HURU

Fri, 18 Dec 2020 Chanzo: habarileo.co.tz

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Desemba 17, imemuachia huru mfanyabiashara Tariq Machibya (29) maarufu ‘Mr Kuku’ baada ya kulipa faini ya Shilingi milioni tano, huku fedha zake Shilingi bilioni 5.4 zilizokuwa kwenye akaunti yake zikitaifishwa.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Desemba 17, imemuachia huru mfanyabiashara Tariq Machibya (29) maarufu ‘Mr Kuku’ baada ya kulipa faini ya Shilingi milioni tano, huku fedha zake Shilingi bilioni 5.4 zilizokuwa kwenye akaunti yake zikitaifishwa. Jana Mahakama hiyo ilimuhukumu kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya shilinig 500,000 baada ya kutiwa hatiani kwa makosa mawili ambayo ni kujihusisha na biashara ya upatu kwa kukusanya fedha kutoka kwa umma na kukubali kupokea miamala ya fedha bila leseni.

Chanzo: habarileo.co.tz