Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MKURUNGENZI MKUU WA TPA ASHIKILIWA NA TAKUKURU

TAKUKURU 1.png?fit=765%2C450 MKURUNGENZI MKUU WA TPA ASHIKILIWA NA TAKUKURU

Tue, 30 Mar 2021 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo amesema wanamshikilia kwa mahojiano Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Deusdedit Kakoko aliyesimamishwa kazi na Rais Samia

Mhandisi Kakoko alisimamishwa kazi Jumapili ili kupisha uchunguzi wa ubadhirifu wa Tsh. Bilioni 3.6 Bandarini ambao ulitajwa kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)

“Kumshikilia mtu ni suala la kawaida kama kuna tatizo limetokea na kama mlivyomsikia Mhe. Rais amemsimamisha kazi kwa sababu ya matatizo na sisi ni kweli tunamshikilia ili tuweze kufanya uchunguzi vizuri”– Brigedia Jenerali John Mbungo -Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU.

Chanzo: zanzibar24.co.tz