Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#MAUAJI: Amuua mwanaye wa kumzaa mwaka 1, afungwa jela miaka 7

#MAUAJI: Amuua Mwanaye Wa Kumzaa Mwaka 1, Afungwa Jela Miaka 7 #MAUAJI: Amuua mwanaye wa kumzaa mwaka 1, afungwa jela miaka 7

Thu, 13 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkazi wa Kijiji cha Orkitikiti wilayani Kiteto mkoani Manyara, anayefahamika kwa jina Geremiah Kwanga (24) amefikishwa Mahakamani na kusomewa mashtaka mawili ikiwemo kosa la mauaji.

Imeelezwa Mahakamani hapo kuwa mtuhumiwa aliua mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi 6 na mtuhumiwa hakutakiwa kujibu chochote kwa kuwa mahakama haina uwezo wa kusikiliza shitaka hilo.

Mwendesha mashtaka Wilfred Molell aliiomba Mahakama kutoa adhabu kali kwa mtuhumiwa huyo ili iwe fundisho kwake mwenyewe na kwa wengine.

Hakimu alitoa adhabu ya kifungo cha miaka saba bila faini ili iwe fundisho kwa wengine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live