Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Barcelona Ashutumiwa kwa Unyanyasaji wa Kingono

Benaigesss.png Benaiges akiwa kwenye majukumu yake

Sun, 12 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa mratibu wa soka la vijana wa Klabu ya Barcelona, Albert Benaiges ameshutumiwa kwa kuwanyanyasa wa kingono, wanafunzi wa akademi.

Kundi la wanafunzi wa zamani wa akademi hiyo waliripoti polisi nchini Hispania siku ya Ijumaa.

Barcelona ilimtimua Benaiges Disemba 2 mwaka huu na iwapo uchunguzi utabaini kuwa shutuma hizo ni za kweli huenda akafikishwa mahakamani na kupewa adhabu nzito.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live