Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kilichoendelea Mahakamani katika Kesi ya Wanawake waliovishana Pete Mwanza (video)

2657 PETE2 660x400

Tue, 6 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo February 05, 2018 Kesi ya Wanawake kuvishana pete ya uchumba ambapo ni kinyume na Sheria imetajwa na kusikilizwa na Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza Wilbert Chuma huku Mwendesha Mashataka wa Serikali ni Emmanuel Luvinga ambapo Hakimu Mkazi Wilbert Chuma ameiahirisha Kesi hadi March 05, 2018.



“SIO YULE TITO WA DODOMA” – RAIS MAGUFULI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Chanzo: millardayo.com