Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kijana wa miaka 27 amuua dadake

Mauajiiiiii Mwanamume 27 amuua dadake

Wed, 29 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamume mwenye umri wa miaka 27 anashikiliwa na polisi baada ya kumdunga kisu na kumuua dada yake katika mzozo wa kifamilia mtaani kwao Makongeni, jijini Nairobi.

Mshukiwa aliyetambulika kwa jina Patrick Mutunga alitumia kisu cha jikoni kumuua Sylvia Kamene baada ya ugomvi wa kifamilia ndani ya nyumba yao ambaye alikamatwa saa chache baadaye na silaha ya muuaji ikapatikana.

Polisi wanasema bado hawajabaini nia ya tukio hilo na wameanzisha uchunguzi tukio hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live