Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kijana wa miaka 22 adukua mfumo wa benki na kuiba milioni 17

Francis Mairura Kijana wa miaka 22 adukua mfumo wa benki na kuiba milioni 17

Mon, 23 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati unakesha kusubiri mwaka mpya usiku wa Disemba 31 kijana Francis Mairura mwenye miaka 22 yeye alikuwa katingwa kudukua mfumo wa benki na kufanikiwa kuiba Ksh 900,000 sawa na Tsh milioni 16.9 Mombasa Bank.

Mara baada ya kijana huyo kudukua mfumo pesa hizo alijitumia kwenye namba akaunti 6 tofauti tofauti za M-PESA zilizo sajiliwa kwa jina lake.

Kijana huyo amekamatwa mwishoni mwa wiki iliyopita katika eneo la Nyamondo kaunti ya Kisii Gucha South nchini Kenya.

Kwa habari kemkem za kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha tembelea Msasa Online kila wakati hakika hutopitwa na chochote saa 24.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live