Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kijana auawa nyumbani kwao akidaiwa kuiba mahindi

Polisi Cov 660x400 Kijana auawa nyumbani kwao akidaiwa kuiba mahindi

Tue, 22 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

kijana Alexi Alfred Minja mwenye umri wa mika 29 mkazi wa Marangu Magharibi kijiji cha malambu Mkoani Kilimanjaro,ameuawa kwa kupigwa na watu ambao hawajafamika nyumbani kwake kwa madai ya kuiba Mahindi kwenye shamba la Jirani yake

Akizungumzia suala hilo msemaji wa familia ya Agustino Thadey Minja anasema kwamba Marehemu alipigwa na wananchi kwa kutumia magogo makubwa kumpiga kichwani na kumsababishia kuvuja damu nyingi eneo la kichwa na kupoteza maisha

Jeshi la polisi kupitia kwa kaimu kamanda Ronald Makona amesema bado halijapata taarifa hizo lakini litazifuatilia

ALIYEMKATA MKE WAKE MKONO AACHIWA ,AINGIA MAHAKAMANI NA SHUKA LA KIMASAI

Chanzo: millardayo.com