Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kijana adaiwa kuuawa kwenye ofisi ya mtendaji,DC aongea

Cover God 660x400 Kijana adaiwa kuuawa kwenye ofisi ya mtendaji,DC aongea

Mon, 25 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

Kijana Furahini Mbise mkazi wa kata ya maweni wilayani Arumeru mkoani Arusha amefariki kwa kudaiwa kuuawa kwenye ofisi ya mtendaji wa kata hiyo alipokwenda kwenye usuluhishi wa mgogoro uliokuwepo.

Kijana Furahini Mbise mkazi wa kata ya maweni wilayani Arumeru mkoani Arusha amefariki kwa kudaiwa kuuawa kwenye ofisi ya mtendaji wa kata hiyo alipokwenda kwenye usuluhishi wa mgogoro uliokuwepo. Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro amesema taarifa za awali zinadai kwamba alijinyonga kwenye chumba cha pembeni kwenye ofisi za mtendaji na kuomba Ndugu kuwa wavumilivu wakati uchunguzi ukiendelea kufanyika.

Chanzo: millardayo.com