Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kijana adai kupigwa nakuumizwa sehemu za siri na kiongozi wa mtaa

Kina333 660x400 Kijana adai kupigwa nakuumizwa sehemu za siri na kiongozi wa mtaa

Thu, 10 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Jeshi la polisi mkoani Arusha kupitia kwa kamanda Salumu Hamduni, linamshikilia mwenyekiti wa mtaa wa malula wilayani Arumeru kwa tuhuma zakumpiga kwa kumshambulia kijana edward  Msemakweli sehemu mbalimbali za mwili wake  ikiwemo sehemu za siri na kwenye tumbo nakumsababishia majeraha.

Jeshi la polisi mkoani Arusha kupitia kwa kamanda Salumu Hamduni, linamshikilia mwenyekiti wa mtaa wa malula wilayani Arumeru kwa tuhuma zakumpiga kwa kumshambulia kijana edward  Msemakweli sehemu mbalimbali za mwili wake  ikiwemo sehemu za siri na kwenye tumbo nakumsababishia majeraha. HII NDIO GARI ILIYOTOKEA NCHINI OMAN HADI TANZANIA “AMERICAN CAR,INAUWEZO MKUBWA”

Chanzo: millardayo.com