Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kigoma:Mganga amuua Mteja aliyetaka kuzindika Fedha za Biashara Tsh milioni 9

Pingu 1024x769 Marehemu alipeleka milioni 9 azindike pesa zake

Fri, 25 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Polisi mkoa wa Kigoma linawashikilia watu wawili akiwemo dereva wa pikipiki na mganga wa kienyeji kwa tuhuma za kumuua na kisha kumfukia mwanamke aliyekuwa ameenda kuzindika fedha za biashara kiasi cha shilingi milioni 9.

Jeshi la Polisi mkoa wa Kigoma linawashikilia watu wawili akiwemo dereva wa pikipiki na mganga wa kienyeji kwa tuhuma za kumuua na kisha kumfukia mwanamke aliyekuwa ameenda kuzindika fedha za biashara kiasi cha shilingi milioni 9. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo katika wilaya ya Kasulu na kukamatwa kwa mganga huyo, Kamanda wa Polisi mkoa wa Kigoma ACP James Manyama, amesema baada ya kutekeleza mauaji hayo walichimba shimo la kumfukia kisha kuchukua fedha zake ambazo katika upekuzi jeshi la polisi walizikamata nyumbani kwa mganga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live