Thu, 27 Jan 2022
Chanzo: millardayo.com
Kutokea Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Saslaam, kesi inayohusu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia imeendelea licha ya aliyekuwa Spika wa Bunge hilo, Job Ngudai kutofika Mahakamani.