Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kesi ya Sabaya Kuunguruma Tena Leo - Video

SABAYA 4?fit=1280%2C720&ssl=1 Kesi ya Sabaya Kuunguruma Tena Leo - Video

Thu, 22 Jul 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Kesi ya Sabaya Kuunguruma Tena Leo – Video July 22, 2021 by Global Publishers



SHAHIDI namba mbili wa kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya aliyeshindwa kumalizia kutoa ushahidi wake katika mahakama ya hakimu Mkazi Arusha juzi, Numan Jasin amefika Mahakamani hapo kumalizia Ushahidi wake.

Sabaya na wenzake wawili wanakabiliwa na kesi ya jinai ya unyang’anyi wa kutumia silaha.

Share this:TweetWhatsApp Related

Chanzo: globalpublishers.co.tz