Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kesi ya Mbowe yapigwa kalenda tena

MBOWE12 Freeman Mbowe

Fri, 6 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeipiga kalenda kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikael Mbowe hadi Agosti 13 2021.

Mahakama imefikia hatua hiyo mara baada ya upande wa mashtaka kudai taratibu za kuifungua kesi hiyo katika Mahakama yenye mamlaka ya kuisikiliza hazijakamilika

Mbowe alifikishwa Mahakamani hapo Julai 26 mwaka huu, aliposomewa mashtaka yanaymkabili ikiwemo kupanga njama za kuwaua viongozi wa kisiasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live