Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kesi ya Mbowe yahamishiwa Mahakama Kuu

Mbowe.png?fit=680%2C510&ssl=1 Freeman Aikael Mbowe, Mwenyeketi wa CHADEMA

Mon, 23 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kesi ya Ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikale Mbowe na wenzake watatu,imefungwa rasmi Mahakamaya Hakimu Kisutu na kuhamishiwa Mahakama Kuu kwa ajili ya kusikilizwa.

Uamuzi huo umetolewa leo na Hkimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Thomas Simba mara baada ya washtakiwa kusomewa maelezo ya mashahidi na vielelezo.

Hata hivyo upande wa mastaka unatarajia kiuwa na mashahidi 24 na vielelezo 19 kuthibitisha mashtaka dhidi ya washitakiwa hao.

Awali kesi hiyo ilipokea mapingamizi yaliyotaka usikilizwaji ufanyike katika Mahakama yenye hadhi ya kusikiliza kesi za Ugaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live