Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kesi ya Mbowe, Wafuasi wa Chadema Waangua Kilio Mahakamani - Video

Video Archive
Mon, 30 Aug 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Kesi ya Mbowe, Wafuasi wa Chadema Waangua Kilio Mahakamani – Video August 30, 2021 by Global Publishers

Kesi ya Mbowe, Wafuasi wa Chadema Waangua Kilio Mahakamani – Video August 30, 2021 by Global Publishers WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wameangua kilio hadharani katika viunga vya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakati wakishuhudia Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe akirejeshwa rumande baada ya kusikiliza kesi aliyofungua dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Chanzo: globalpublishers.co.tz