Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Katibu wa Kikundi cha Walemavu ahukumiwa

Kortini Kwa Disel Katibu wa Kikundi cha Walemavu ahukumiwa

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: Voa

Rainely Mathias Ngonyani ambaye ni Katibu wa Kikundi cha Walemavu Liparamba kilichopo Wilaya ya Nyasa ametiwa hatiani baada ya kukiri kosa la Ubadhirifu wa Tsh. 2,000,000 za Halmashauri ya Nyasa - Aidha, Rainely alithibitisha kuwa amerejesha pesa hizo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nyasa na aliomba kupata adhabu nafuu kwa kuwa ni kosa lake la kwanza na ni Mlemavu. Mahakama ilimhukumu kulipa faini ya Tsh. 100,000 au kifungo cha Miaka miwili jela ambapo alilipa faini -

Chanzo: Voa