Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanisa Katoliki lawashtaki Bodi ya Wadhamini CCM

Kortini Geita.jpeg Kanisa Katoliki lawashtaki Bodi ya Wadhamini CCM

Tue, 31 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma limefungua shtaka katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Kigoma kutokana na Mgogoro wa Ardhi yenye ukubwa wa Ekari 39.6

Mashtaka yanawahusu Bodi ya Wadhamini wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Halmashauri ya Uvinza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakidaiwa kuchukua eneo la Kanisa ambalo wanalimiliki tangu Mwaka 1920

Washtakiwa wamepanga kujenga Madarasa ya Shule ya Sekondari ya Chumvi bila ridhaa ya Kanisa. Mahakama imepanga shauri litajwe Februari 15, 2023

Chanzo: www.tanzaniaweb.live