Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kamata kamata mafundi simu, TCRA yaingilia kati, yatoa mafunzo kwa mafundi (+video)

Screenshot 2021 02 06 At 16.24.33 660x400.png Kamata kamata mafundi simu, TCRA yaingilia kati, yatoa mafunzo kwa mafundi (+video)

Mon, 8 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) tawi la Zanzibar imeanzisha mafunzo maalum ya kozi ya kutengeneza vifaa vya mawasiliano kwa kuwadhamini watengeneza vifaa vya mawasiliano (mafundi simu).

Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) tawi la Zanzibar imeanzisha mafunzo maalum ya kozi ya kutengeneza vifaa vya mawasiliano kwa kuwadhamini watengeneza vifaa vya mawasiliano (mafundi simu). Ufunguzi huo wa kozi umehudhuriwa na mgeni rasmini ambae ni Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Rahma Kassim, Polisi na TCRA.

Chanzo: millardayo.com