Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jeshi la Polisi Kinondoni limezungumzia kuokotwa kwa mwili wa mtu ufukweni

3246 WhatsApp Image 2018 02 14 At 12.27.25 660x400.jpeg

Wed, 14 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Kamanda Mkuu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondon ACP Murilo Jumanne Murilo amezungumza na waandishi wa habari na kueleza kuwa jeshi hilo limeokota mwili wa mwanaume anayekadiriwa kuwa na miaka 35, katika eneo la ufukwe wa Coco Beach akiwa amefariki.

Kamanda Murilo ameeleza walipata taarifa ya kuonekana kwa mtu huyo kutoka kwa msamaria mwema na walipokwenda eneo la tukio waliukuta mwili wa mtu huyo ukiwa na majeraha na akiwa tayari ameshakufa.

Ameeleza kuwa Jeshi  la Polisi tayari limeanza mara moja kufanya uchunguzi ili kubaini chanzo cha kifo cha mtu huyo.

Utafiti wa mapato na matumzi binafsi utafanyika katika kaya 408 Mwanza.



Chanzo: millardayo.com