Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jeshi la Polisi Arusha lashusha maofisa wake ngazi ya kata

Polis Arushaaaaaa (600 X 424) Jeshi la Polisi Arusha lashusha maofisa wake ngazi ya kata

Mon, 14 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limewataka maofisa wake waliopangiwa kazi katika ngazi ya kata kutekeleza majukumu yao kwa kufuata maadili ya jeshi hilo ikiwa ni pamoja na matumizi ya lugha nzuri kwa jamii, kuacha vitendo vya ulevi na kujiingiza kwenye mahusinao na wanafunzi.

Hayo yameelezwa na kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Kamishna wa Polisi Yahaya Mdogo wakati wa kikao na Wakaguzi wa jeshi la Polisi, kikao kilicholenga kuwakumbusha wajibu wao wa kuzuia na kupambana na uharifu.

View this post on Instagram

A post shared by Clouds TV ???????? (@cloudstv)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live