Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jela miaka 25 kwa kugoogle jinsi ya kuua

Jela 1 Jela miaka 25 kwa kugoogle jinsi ya kuua

Wed, 27 Oct 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Kijana Jamar Bailey (21) mkazi wa Birmingham amehukumiwa kifungo cha zaidi ya miaka 25 jela mahakama ya Birmingham Crown nchini Uingereza jana Jumatatu, baada ya kujaribu kuuwa mtoto mwenye umri wa wiki tatu mwezi Juni mwaka huu.

Kijana Jamar Bailey (21) mkazi wa Birmingham amehukumiwa kifungo cha zaidi ya miaka 25 jela mahakama ya Birmingham Crown nchini Uingereza jana Jumatatu, baada ya kujaribu kuuwa mtoto mwenye umri wa wiki tatu mwezi Juni mwaka huu. Jamar alitumia mtandao wa Google kuuliza namna ya kuua mtoto kwa kumnywesha sumu ambapo baada ya kupima haja ndogo wataalamu wa afya waligundua kuwa alinyweshwa ‘Sodium Valporate’ dawa zinazotumika kutibu ugonjwa wa kifafa na Maradhi ya hisia (Bipolar) ambazo zinauweza wa kumuuwa mtoto mchanga.

Chanzo: globalpublishers.co.tz