Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jamaa amuua mpenzi wake na shemeji yake na kuiba simu na TV (+video)

Screenshot 2020 10 03 At 14.42.04 660x400.png Jamaa amuua mpenzi wake na shemeji yake na kuiba simu na TV (+video)

Sat, 3 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara ACP. Daniel Shillah amesema Jeshi hilo linamshikilia kijana Fredrick John (20) Mkazi wa Sengerema mkoani Mwanza kwa tuhuma za mauaji ya mpenzi wake Doris Samson na shemeji yake Nikson Charles wote wakazi wa Bunda mkoani Mara kutokana na wivu wa mapenzi.

Chanzo: millardayo.com