Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jamaa amuua aliemfukuza harusini "hakubeba zawadi" (+video)

9f8750c1 Bdb1 4087 93ca Ab78d4546765 660x400.jpeg Jamaa amuua aliemfukuza harusini "hakubeba zawadi" (+video)

Wed, 4 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia kijana mmoja anayetambulika kwa jina la Nchagwa Sasi (18) Mkazi wa Kijiji cha Malenga katika Wilaya ya Serengeti kwa kosa la kumuua Kegoka Mwikabe (20) baada ya marehemu kumfukuza kwenye harusi ya rafiki yao kutokana na kutokuwa na zawadi.“Tumemkamata Mchagwa ambaye ni mkulima kwa kosa la mauaji, awali wawili waliudhuria sherehe, huyu marehemu alikuwa anasimamia kamati ya Vijana wenzake iliyokuwa inahusika na suala la kutoa zawadi, ndipo walibaini mshatakiwa hakuwa na zawadi, ndipo Marehemu alipoamua kumtoa nje” RC Mara

Chanzo: millardayo.com