Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ifahamu adhabu atayopewa mtu anayepiga makelele

1173 LAWA1 660x400 TZW

Sun, 7 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo January 5, 2018 Kuna hii ya kufahamu mtu wangu wa nguvu  kuhusu adhabu anayoweza kuipata mtu anayepiga makelele, iwe kwa kupiga muziki au kupaza sauti kubwa ambayo itamkela mtu mwingine, ambapo ikithibitika umetenda kosa hilo unaweza kuhukumiwa hadi mwaka mmoja jela.

Sasa Wakili wa kujitegemea, Jebrah Kambole anaelezea vifungu ambavyo vinaweza kumpelekea mtu akashtakiwa kwa kosa la kupiga kelele.

MSIBA: MWANAMUZIKI MKONGWE WA DANSI AFARIKI DUNIA

MAHAKAMANI: RUGEMARILA AMEWATAJA ‘WEZI WA FEDHA ZA ESCROW’

Chanzo: millardayo.com