Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Idadi ya dawa za kulevya zilizokamatwa Tanzania ndani ya siku 60

2872 Cocaine Injections 660x400

Fri, 9 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Kamishna mkuu wa kuzuia na kupambana na dawa za kulevya nchini Rogers Sianga akiwa mkoani Dodoma leo February 8, 2018 amesema ndani ya miezi miwili wamekamata zaidi ya kilo zaidi ya 1500  za dawa za kulevya zilizokuwa zikiingizwa nchini ambapo pia hadi sasa wameshajua baadhi ya maeneo walipojificha wafanyabiashara wa dawa hizo ikiwemo nje ya nchi.



Wema Sepetu baada ya kutoka Mahakamani

Chanzo: millardayo.com