Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

IGP Sirro akagua Vijiji vilivyowavamiwa na magaidi Mtwara "ugaidi biashara mbaya' (+video)

Video Archive
Mon, 23 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

IGP Sirro amekagua vijiji vilivyovamiwa na Magaidi Mkoani Mtwara na kuzungumza na Wananchi wa vijiji hivyo vya Kitaya na Michenjele akiwasisitiza kuondoa wasiwasi na kuendelea kuwafichua Wahalifu.

IGP Sirro amekagua vijiji vilivyovamiwa na Magaidi Mkoani Mtwara na kuzungumza na Wananchi wa vijiji hivyo vya Kitaya na Michenjele akiwasisitiza kuondoa wasiwasi na kuendelea kuwafichua Wahalifu. “Ukiingia kwenye Ugaidi ukipona shukuru, ila tukikupata tutakushughulikia, Ugaidi ni biashara mbaya, Ugaidi ni kuua, Wanachi waliokimbia vijiji vyao warudi, Wazazi walindeni Watoto wasiingie kwenye Ugaidi”– Sirro

Chanzo: millardayo.com