Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

IGP SIRRO: Wahalifu wa Kibiti baadhi yao wamekimbilia Msumbiji

1363 SIR 660x400

Mon, 15 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro leo January 15 2018 amekutana na Mkuu wa jeshi la Msumbiji kwa ajili ya kutiliana sahihi ya makubaliano ili kuweza kubaini, kuzuia, kupambana na wahalifu wanaofanya uhalifu hapa Tanzania na Msumbiji  hasa kwenye masuala ya ugaidi na dawa za kulevya.

Akizungumza na waandishi wa habari IGP Sirro amesema kuhusu sakata la Kibiti, Ikwiriii mpaka maeneo ya Mtwara kwamba kuna baadhi ya wahalifu walikimbilia Msumbiji kwa hiyo wamekubaliana na serikali hiyo kushirikiana kwa kufanya kazi kwa mujibu wa sheria kuhakikisha Msumbiji inakuwa na amani na utulivu.

Kamanda Kikosi cha Usalama Barabarani alivyokutana na Traffic katika eneo hatari kwa ajali

Chanzo: millardayo.com