Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hoja za Mawakili wa Sabaya zatupwa, Shahidi asema majina yake yamekosewa

57889000 660x400 Hoja za Mawakili wa Sabaya zatupwa, Shahidi asema majina yake yamekosewa

Mon, 23 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Mahakama ya Hakimu Mkazi  Mkoani Arusha imetupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na Mawakili wa utetezi wanaomuwakilisha mshtakiwa wa pili Sylivester Nyegu katika kesi ya Unyang’anyi wa kutumia Silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili.Huku Shahidi wa nne wa upande wa utetezi akisema mashtaka yaliyopo ni ya uongo na yametengenezwa na majina yaliyopo kwenye mashtaka sio ya kwake

Chanzo: millardayo.com