Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Hawa wameharibu bajeti ya Taifa" RPC Njombe

RPC NJOMBE HAMIS ISSA.jpeg Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe, Khamis Issah

Sat, 23 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe linawashikilia raia 52 kutoka nchi za Ethiopia na Malawi wanaodaiwa kuingia nchini bila ya kufuata utaratibu wakijaribu kuvuka mipaka kuelekea nchini Afrika Kusini.

Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe linawashikilia raia 52 kutoka nchi za Ethiopia na Malawi wanaodaiwa kuingia nchini bila ya kufuata utaratibu wakijaribu kuvuka mipaka kuelekea nchini Afrika Kusini. Akizungumza mara baada ya kuwakamata raia hao, Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe, Khamis Issah, amesema kuwa watu hao wameharibu tu bajeti ya Taifa, kwani wamekula chakula ambacho hakikuwa kwenye bajeti yao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live