Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hatimaye bilionea tapeli ahukumiwa jela

Hushpuppi.jpeg Hushpuppi

Sat, 5 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hatimaye hukumu ya mwizi nguli mitandaoni ambaye ni raia wa Nigeria, Ramon Abbas (39), maarufu Hushpuppi imesomwa Alhamisi, Novemba 3, 2022 na Jaji Otis Wright wa Mahakama ya Wilaya huko California ambapo Hushpuppi amehukumiwa kifungo cha miaka 11 gerezani.

Hata hivyo kulingana na tayari Hushpuppi kuwa jela Marekani kwa takribani miaka 2 tangu mwezi Juni mwaka 2020 baada ya kukamatwa huko Dubai na kisha kuhamishiwa Marekani, hivyo anatajwa atatumikia kifungo chake gerezani kwa miaka 9 tu.

Sanjali na hilo, kurasa zake za mitandao ya Kijamii ikiwemo wa Instagram uliokuwa na followers zaidi ya Milioni 2.8 imefungwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live