Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Hata bangi ikiruhusiwa sio kila Mwananchi ataruhusiwa" Kusaya (+video)

Video Archive
Thu, 24 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Juni 26 ya kila mwaka imesema serikali haina mpango wa kuruhusu kilimo cha bangi na kama ikiruhusu ni Taasisi za Utafiti zitaruhusiwa.

Kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Juni 26 ya kila mwaka imesema serikali haina mpango wa kuruhusu kilimo cha bangi na kama ikiruhusu ni Taasisi za Utafiti zitaruhusiwa. Akizungumza na waaandishi wa habari Gerald Musabila Kusaya Kamishna wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya amesema mpaka sasa Serikali haina mpango wowote wa kuruhusu kilimo hicho .

Chanzo: millardayo.com