Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hakimu aponzwa na rushwa ya laki na nusu

Gavel E56f863663730613jpg E970e057055cf2b4 600x400 Hakimu aponzwa na rushwa ya laki na nusu

Tue, 17 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Magugu, Adeltus Rweyendera amehukumiwa kifungo cha miaka 3 au kulipa faini ya Milioni 1.5 kwa kupokea rushwa ya Tsh. 150,000.

Mtuhumiwa aliomba rushwa kwa Wazazi na ndugu wa Washtakiwa watatu ambapo kila mmoja akitakiwa kutoa Tsh. 50,000 kama kishawishi cha kuwasaidia.

Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani humo, Hole Joseph Makungu amesema walifanya uchunguzi baada ya kupokea taarifa kisha wakamkamata na kumfikisha Mahakamani.

MASANJA AMVUNJA MBAVU MAGUFULI KWA VITUKO VYAKE “WATU WANATEMBEA NA VIDONGE, UMEPIGA MAPIGO”

Chanzo: millardayo.com