Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dr. Molel amemtembelea Kijana aliyepigwa katika Kampeni

2805 Mole231 660x400

Fri, 9 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo February 7, 2018 Mgombea Ubunge Jimbo la Siha kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dr. Godwin Mollel amemtembelea kijana aliyevamiwa nakupigwa hadi kuvunjwa shingo na mkono na wafuasi wanaosemekana kuwa wa CHADEMA baada yakuhama chama hicho.

Dr. Molel amemtembelea mgonjwa huyo katika hospitali ya KCMC na kusema mwananchi huyo aliyejulikana kwa jina la Saimon alifanyiwa kitendo hicho baada ya kuhama CHADEMA ambapo awali alikuwa miongoni mwa wanaounda timu ya kampeni ya mgombea Ubunge wa CHADEMA.



Hata hivyo imeelezwa kwamba aliyehusika kufanya kitendo hicho tayari ameshafikishwa kwenye Vyombo vya Sheria huku hali ya mgonjwa ikizidi kuwa mbaya.

BREAKING: CHADEMA WAZUNGUMZIA DIWANI ALIYETEKWA ‘MULEBA’ NA MENGINE

Chanzo: millardayo.com