Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diwani na Askari waliokuta mtu anafanya mapenzi barabarani wanusurika kuuawa (+video)

Video Archive
Thu, 11 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Diwani wa Kata ya Miembeni katika Manispaa ya Moshi pamoja na Askari sungusungu wanadaiwa kufyatuliwa risasi na Mfanyabiashara mmoja mkoani Kilimanjaro wakati wa usiku wakifanya ulinzi shirikishi baada ya kukuta watu wakiwa wanafanya mapenzi barabarani.

Chanzo: millardayo.com