Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diwani mteule na wajukuu zake wateketea kwa moto

RPC PWANIZI 660x400 Diwani mteule na wajukuu zake wateketea kwa moto

Mon, 9 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Diwani mteule wa Kata ya Kikongo Wilaya ya Kibaha Vijijini mkoani Pwani Fatuma Ngozi na Wajukuu zake wawili wamefariki baada ya nyumba ya Diwani huyo kuchomwa moto usiku wa kuamkia leo Novemba 9.

Kamanda wa polisi mkoa wa Pwani Wankyo Nyigesa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo “Ni kweli na watu wangu wako eneo la tukio btoka alfajiri wakifuatilia chanzo”.

RAIS MAGUFULI AFUNGUKA “SIBADILISHI MA-RC WALA MA-DC FANYENI KAZI”

Chanzo: millardayo.com