Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dhamana ya Aveva, Kaburu sasa ikowazi

76420 Avevapic

Thu, 19 Sep 2019 Chanzo: mwananchi.co.tz

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemkuta na kesi ya kujibu aliyekuwa Rais wa Simba, Evans Aveva na wenzake katika mashitaka manane isipokuwa mawili ya utakatishaji fedha.

Kutokana na hatua hiyo, Aveva na mshitakiwa mwenzake Godfrey Nyange, ambaye alikuwa makamu wake, dhamana yao iko huru kwa masharti ya kuwa na wadhamini wawili watakaosaini bondi ya Sh 30 milioni.

Soma zaidi hapa>>Hatma ya kesi ya Aveva, Kaburu Oktoba 2

Chanzo: mwananchi.co.tz