Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DPP amfutia kesi Dk Pima

Dk Pima Na Wenzake Waachiwa Huru Baada Ya Kushinda Rufaa DPP amfutia kesi Dk Pima

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkurugenzi Wa Mashtaka Nchini DPP Amemfutia Kesi na kumfungulia Mpya Mbili Za Uhujumu Uchumi Aliyekuwa Mkurugenzi Wa Jiji La Arusha Dkt John Marko Pima na wenzake watatu.

Kesi Hizo Zimefunguliwa Katika Mahakama Ya Hakimu Mkazi Arusha Zikimkabili Na Wenzake Watatu.

Kesi Hizo Zina Mashtaka Nane Kila Moja ikiwemo Ya Ufujaji Na Ubadhirifu Wa Milioni 65 Fedha Za Serikali.

Katika Maelezo Ya Kesi Inadaiwa Walijipatia Kiasi Hicho Kwa Kutumia Nyaraka Kumdanganya Mwajiri Kuwa Wamezitumia Pesa Hizo Kumwaga Moramu Katika Masoko Ya Kilombero, Soko Kuu, Mbauda Na Morombo Jambo Ambalo Sio Kweli.

Washtakiwa Wote Wamekana Mashtaka Huku Watatu Wakiachiwa Kwa Dhamana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live