Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DED aliyetumbuliwa ashitakiwa kwa ubadhirifu mamilioni ya fedha

Hukumu Pc Data DED aliyetumbuliwa ashitakiwa kwa ubadhirifu mamilioni ya fedha

Fri, 2 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Zefrin Kimolo Lubuva ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Singida, ameshtakiwa kwa Matumizi Mabaya ya Ofisi na Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 7.25

Fedha hizo alilipwa kama posho za kujikimu kwa miezi 6 kuanzia Desemba 2021 hadi Juni 2022 wakati uteuzi wake ulitenguliwa na Rais Februari 4, 2022

Mshtakiwa amekana makosa ambapo Mahakama imeagiza aliyekuwa Mweka Hazina na kuidhinisha malipo hayo aunganishwe kwenye Mashtaka. Kesi itatajwa tena Desemba 29, 2022.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live