Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chidi Benzi adaiwa kukutwa na gramu tano za Bangi

9488 Chidi+pic TZWeb

Tue, 19 Jun 2018 Chanzo: mwananchi.co.tz

Dodoma. Polisi mkoani Dodoma inamshikilia mwanamuziki wa Hip Hop Chidi Benzi kwa tuhuma za kukutwa na bangi gramu tano.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 18,   Kamanda wa polisi Dodoma Gilles Muroto amesema Chidi Benz amekamatwa mwishoni mwa wiki katika eneo la mji Mpya Jijini Dodoma.

Soma Zaidi: Chid Benz ahukumiwa kifungo cha miaka miwili jela

Kamanda Muroto amesema kuwa Chidi benz atafikishwa mahakamani muda wowote kuanzia sasa.

Soma Zaidi: Chid Benz adakwa tena na dawa za kulevya

Miongoni mwa nyimbo zilizompa umaarufu Chid Benz ni pamoja na Ngoma Itambae, Mmenisoma, Naitwa Nani, Hasira za Nini na Mashallah.

Soma Zaidi: Chid Benz anaswa na dawa za kulevya ‘airport’

 

Chanzo: mwananchi.co.tz