Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chanzo cha ajali iliyoua 14 Singida "ni uzembe,ilikuwa inaelekea harusini"

Rpp 660x400 Chanzo cha ajali iliyoua 14 Singida "ni uzembe,ilikuwa inaelekea harusini"

Tue, 15 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Watu 14 wamefariki wengine watatu wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea maeneo ya Kiini cha Mkiwa mkoani Singida iliyohusisha gari ndogo ya abiria na Lori lililokua linatokea Dar es Salaam kwenda Kahama.

Kamanda wa Polisi mkoani Singida, Sweetbert Njewika, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo akidai kuwa chanzo ni uzembe wadereva wa gari ya abiria.

MAJANABA KATUONYESHA ANAVYOPAMBANA KUOKOTA MAKOPO “NINA STOCK MBILI,WANADOKOA NITAMLAANI”

Chanzo: millardayo.com