Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Breaking: Sabaya Ashtakiwa kwa Ujambazi

Sabaya 4?fit=680%2C510&ssl=1 Breaking: Sabaya Ashtakiwa kwa Ujambazi

Fri, 4 Jun 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Breaking: Sabaya Ashtakiwa kwa Ujambazi June 4, 2021 by Global Publishers

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ambaye alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, amesomewa mashtaka sita, ikiwemo uhujumu uchumi, utakatishaji fedha na unyang’anyi wa kutumia silaha (ujambazi), hivyo amekosa dhamana mpaka Juni 18, kesi yake itakapotajwa tena.

Chanzo: globalpublishers.co.tz