Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Breaking: Mdude wa CHADEMA Aachiwa Huru

WhatsApp Image 2021 06 28 At 10.52.15 AM.jpeg?fit=1032%2C581&ssl=1 Breaking: Mdude wa CHADEMA Aachiwa Huru

Mon, 28 Jun 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Breaking: Mdude wa CHADEMA Aachiwa Huru June 28, 2021 by Global Publishers



MAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya,leo Juni 28,  imemwachia huru kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyangali aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya kusafirisha madawa ya kulevya aina ya Heroin gramu 23.4.

Hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo, Zawadi Laizer amesema upekuzi uliofanyika nyumbani kwa mshtakiwa ulikuwa ni batili na haukufuata sheria na kanuni za upekuzi.

Chanzo: globalpublishers.co.tz