Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Boss wa kampuni ya utalii afikishwa mahakamani akidaiwa kumuua mlinzi wake

KESI MJINI 660x400 Boss wa kampuni ya utalii afikishwa mahakamani akidaiwa kumuua mlinzi wake

Wed, 25 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Mkurugenzi wa kampuni ya Utalii ya Shidolya  mkoani Arusha, Lazarus Mafie maarufu kwa jina la Shidolya Mkazi wa Kimandolu, wilayani Arumeru, amefikishwa Mahakamani akituhumiwa kutenda kosa la mauaji ya kukusudia kwa mfanyakazi wake.

Mkurugenzi wa kampuni ya Utalii ya Shidolya  mkoani Arusha, Lazarus Mafie maarufu kwa jina la Shidolya Mkazi wa Kimandolu, wilayani Arumeru, amefikishwa Mahakamani akituhumiwa kutenda kosa la mauaji ya kukusudia kwa mfanyakazi wake. BILIONEA MPYA MWINGINE WA MADINI APATIKANA ARUSHA,ANAITWA LAIZER

Chanzo: millardayo.com