Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Boda Boda aliyepotea, akutwa porini amefariki Dunia

Boda Boda Mtwara Askari na Wananchi wakishirikiana kutoa mwili

Tue, 15 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Madereva wa pikipiki maarufu "bodaboda" kwa kushirikiana na polisi katika Manispaa ya Mtwara Mikindani, wameupata mwili wa kijana Mohamed Juma (22) akiwa amefariki dunia katika pori la Kijiji cha Hiari, wilayani Mtwara.

Madereva wa pikipiki maarufu "bodaboda" kwa kushirikiana na polisi katika Manispaa ya Mtwara Mikindani, wameupata mwili wa kijana Mohamed Juma (22) akiwa amefariki dunia katika pori la Kijiji cha Hiari, wilayani Mtwara. Inadaiwa kuwa siku sita zilizopita, kijana huyo alikodishwa usafiri huo na watu wawili ambao hawajafahamika hadi sasa, wakitaka awapeleke kijijini hapo, na kijana huyo hakuonekana tena hadi mwili wake ulipokutwa leo porini humo ukiwa umefungwa kamba na ukiwa na majeraha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live