Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Biskuti za bangi zakamatwa Arusha

Kusaya Web Biskuti za bangi zakamatwa Arusha

Wed, 16 Nov 2022 Chanzo: Eatv

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, katika oparesheni zake, imekamata biskuti 50 za bangi jijini Arusha. Kamishna na Mamlaka hiyo Gerald Kusaya ameeleza kuwa mtuhumiwa Abdulnasir Kombo (30) mkazi wa Kaloleni ndiye aliyekamatwa na biskuti hizo.

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, katika oparesheni zake, imekamata biskuti 50 za bangi jijini Arusha. Kamishna na Mamlaka hiyo Gerald Kusaya ameeleza kuwa mtuhumiwa Abdulnasir Kombo (30) mkazi wa Kaloleni ndiye aliyekamatwa na biskuti hizo. Kamishna Jenerali wa Mamlaka hiyo Gerald Kusaya ameeleza kuwa mtuhumiwa Abdulnasir Kombo (30) mkazi wa Kaloleni ndiye aliyekamatwa na biskuti hizo.

Chanzo: Eatv