Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Benki Kuu yawafikisha 40 Mahakamani kwa kutengeneza noti bandia

BOTPIC Benki Kuu yawafikisha 40 Mahakamani kwa kutengeneza noti bandia

Fri, 25 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema watu 10 wamefikishwa Mahakamani katika miezi ya hivi karibuni kwa mashtaka yanayohusiana na noti bandia.

Imesema watuhumiwa wametokea Dar, Mwanza, Arusha, Moshi na Mbeya na operesheni hiyo bado inaendelea na aadhi walikutwa na noti feki na wengine walikutwa na mashine zinazotumika kuzitengeneza.

Benki Kuu imeeleza wasiwasi wake kuhusu wahalifu kulenga minada ya mifugo na mazao ili kutoa fedha hizo kwa wakulima na wafugaji ambao hawazitambua.

Desemba mwaka jana, Gavana Florens Luoga alihimiza adhabu kali kutolewa kwa watakaokutwa na hatia na kutengeneza na kusambaza noti bandia

IMETHIBITIKA: SAMATTA KATUA UTURUKI

Chanzo: millardayo.com