Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba aliembaka mwanae aachiwa kisa binti kazoea

Sexual Assault 660x400 Baba aliembaka mwanae aachiwa kisa binti kazoea

Wed, 16 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Mahakama Zanzibar imemuachia huru aliyembaka Mwanae kisa binti kazoea kuingiliwa, hayo yamejiri katika kesi ya Salim Khamis Ali (43) aliyembaka binti yake wa kumzaa mwenye miaka chini ya 13 na kuachiwa huru Desemba 7, 2020.

Katika kesi hiyo, Mahakama imesema kuwa inamuachia huru Salim Khamis kwa kuwa daktari alithibitisha kuwa si mara ya kwanza kwa binti huyo kuingiliwa, ilionekana kazoea.

Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA, ZNZ) kimesema hakiridhishwi na Hukumu za Kesi zinazohusu Ukatili wa Watoto Kisiwani humo.

Hata hivyo, TAMWA-ZNZ imesema, Mahakama haikuzingatia kwa Mujibu wa Sheria mtoto chini ya miaka 18 hana ridhaa ya kufanya maamuzi ya kimapenzi.

BREAKING: MWIGIZAJI JENGUA AFARIKI DUNIA

Chanzo: millardayo.com